Ufafanuzi msingi wa shambiro katika Kiswahili

: shambiro1shambiro2

shambiro1

nominoPlural mashambiro

  • 1

    nyumba inayofanyiwa mambo machafu kama vile ya umalaya au mipango ya wizi.

    danguro

Asili

Kar

Matamshi

shambiro

/∫ambirɔ/

Ufafanuzi msingi wa shambiro katika Kiswahili

: shambiro1shambiro2

shambiro2

kielezi

  • 1

    bila ya kuwa na kazi.

    bure

Asili

Kar

Matamshi

shambiro

/∫ambirɔ/