Ufafanuzi wa shangaa katika Kiswahili

shangaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    patwa na hali ya kustaajabu baada ya kuona au kusikia jambo ambalo si la kawaida au ambalo halikutarajiwa kutukia.

    staajabu, duwaa, pumbaa, bahashika, tunduwaa, ghumiwa, vuvuwaa, ajabia

Matamshi

shangaa

/∫anga:/