Ufafanuzi msingi wa shangama katika Kiswahili

: shangama1shangama2

shangama1

nominoPlural shangama

  • 1

    shati la mikono mifupi lililotobolewa sehemu ya kupitisha kichwa na ambalo halikushonwa mbavuni.

Matamshi

shangama

/∫angama/

Ufafanuzi msingi wa shangama katika Kiswahili

: shangama1shangama2

shangama2

nominoPlural shangama

  • 1

    nyumba ya mapaa mawili.

Matamshi

shangama

/∫angama/