Ufafanuzi wa shangilia katika Kiswahili

shangilia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

  • 1

    furahia, agh. kwa vigelegele na hoihoi.

  • 2

    fanya shangwe.

Matamshi

shangilia

/∫angilija/