Ufafanuzi msingi wa shangingi katika Kiswahili

: shangingi1shangingi2

shangingi1

nomino

  • 1

    mwanamke aliyekubuhu katika maisha ya starehe.

Matamshi

shangingi

/∫angingi/

Ufafanuzi msingi wa shangingi katika Kiswahili

: shangingi1shangingi2

shangingi2

nomino

  • 1

    gari kubwa la kifahari.

Matamshi

shangingi

/∫angingi/