Ufafanuzi wa shanta katika Kiswahili

shanta

nomino

  • 1

    mfuko kama ule unaobebwa mgongoni na wanajeshi au msafiri wa miguu.

Asili

Kar

Matamshi

shanta

/∫anta/