Ufafanuzi wa shari katika Kiswahili

shari

nominoPlural shari

 • 1

  jambo linaloleta matokeo mabaya ya kuleta hasara.

 • 2

  jambo linalofanywa na mtu ili kumuudhi mwingine.

  ‘Sitaki shari yako’
  methali ‘Heri nusu ya shari kuliko shari kamili’
  ugomvi, chokochoko

Asili

Kar

Matamshi

shari

/∫ari/