Ufafanuzi wa sharubu katika Kiswahili

sharubu

nominoPlural masharubu

  • 1

    nywele ziotazo kwenye mdomo wa juu na chini ya pua ya mwanamume au samaki.

Asili

Kar

Matamshi

sharubu

/∫arubu/