Ufafanuzi wa shauriana katika Kiswahili

shauriana

kitenzi sielekezi

  • 1

    badilishana au peana mawazo.

Asili

Kar

Matamshi

shauriana

/∫awurijana/