Ufafanuzi wa shavu katika Kiswahili

shavu

nominoPlural mashavu

  • 1

    nyama ya juu iliyoko kwenye sehemu ya kulia na kushoto ya uso inayoanzia chini ya jicho mpaka karibu na taya.

Matamshi

shavu

/∫avu/