Ufafanuzi wa Shawali katika Kiswahili

Shawali

nominoPlural Shawali

  • 1

    Kidini
    mwezi wa kumi katika kalenda ya Kiislamu.

  • 2

    Mfungo Mosi.

Asili

Kar

Matamshi

Shawali

/∫awali/