Ufafanuzi wa shayiri katika Kiswahili

shayiri

nomino

  • 1

    nafaka inayofanana na ngano na inayotumiwa kuwa chakula na kutengenezea pombe.

Asili

Kar

Matamshi

shayiri

/∫ajiri/