Ufafanuzi wa shazia katika Kiswahili

shazia

nomino

  • 1

    sindano kubwa ambayo hutumiwa kushonea k.v. vitambaa vigumu, magodoro, matanga au mikeka.

Asili

Kar

Matamshi

shazia

/āˆ«azija/