Ufafanuzi msingi wa shehe katika Kiswahili

: shehe1shehe2

shehe1 , shekhe

nominoPlural mashehe

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu mwenye elimu ya dini ya Uislamu, agh. huifundisha kwa watu wengine.

Asili

Kar

Matamshi

shehe

/∫ɛhɛ/

Ufafanuzi msingi wa shehe katika Kiswahili

: shehe1shehe2

shehe2

nominoPlural mashehe

  • 1

    mzee anayeheshimiwa kwa ajili ya busara yake na mashauri anayotoa.

Asili

Kar

Matamshi

shehe

/∫ɛhɛ/