Ufafanuzi wa shelisheli katika Kiswahili

shelisheli

nomino

  • 1

    tunda la mshelisheli linalofanana na mung’unye na ambalo huliwa baada ya kupikwa.

Matamshi

shelisheli

/∫ɛli∫ɛli/