Ufafanuzi wa shenzi katika Kiswahili

shenzi

kivumishi

  • 1

    -enye kutokuwa na ustaarabu; -enye tabia au vitendo visivyokubaliana na nyendo za jamii inayohusika.

Asili

Kaj

Matamshi

shenzi

/∫ɛnzi/