Ufafanuzi wa shere katika Kiswahili

shere

nomino

  • 1

    mzaha wa kumfanya mtu aonekane kuwa ni mjinga.

Asili

Kar

Matamshi

shere

/∫ɛrɛ/