Ufafanuzi wa sherehekea katika Kiswahili

sherehekea

kitenzi sielekezi~wa

  • 1

    fanya vitendo vya furaha ili kufurahikia au kuadhimisha tukio au jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

sherehekea

/∫ɛrɛhɛkɛa/