Ufafanuzi wa sherisi katika Kiswahili

sherisi

nominoPlural sherisi

  • 1

    gundi itumiwayo na maseremala.

    ambo, gluu, gundi, gamu

Asili

Kar

Matamshi

sherisi

/∫ɛrisi/