Definition of shiba in Swahili

shiba

intransitive verb

  • 1

    tosheka na chakula baada ya kukila; kosa kuwa na nafasi tumboni kutokana na kujaa chakula au kinywaji.

Origin

Kar

Pronunciation

shiba

/∫iba/