Ufafanuzi wa shida katika Kiswahili

shida

nominoPlural shida

  • 1

    ukosefu wa mahitaji muhimu k.v. chakula au mavazi na malazi.

    ‘Tangu kufiwa na mwanawe amekuwa na shida kubwa’
    dhiki, adha, shabuka, mbinde, usumbufu, thakili, taabu, ngambi, shakawa, udhia

  • 2

    shakawa

Asili

Kar

Matamshi

shida

/∫ida/