Ufafanuzi wa shifti katika Kiswahili

shifti

nominoPlural shifti

  • 1

    kipindi cha muda maalumu wa kufanya kazi katika kiwanda au hospitali ambacho wafanyakazi hupokezana kwa zamu.

    zamu

Asili

Kng

Matamshi

shifti

/∫ifti/