Ufafanuzi wa shikamana katika Kiswahili

shikamana

kitenzi sielekezi

  • 1

    shikana na kitu au mtu mwingine; kuwa kitu kimoja.

    mamania, tungamana

Matamshi

shikamana

/∫ikamana/