Ufafanuzi wa shikamoo katika Kiswahili

shikamoo

nominoPlural shikamoo

  • 1

    salamu ya heshima itolewayo kwa mtu aliyekuzidi umri.

Matamshi

shikamoo

/∫ikamɔ:/