Ufafanuzi wa shikana katika Kiswahili

shikana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shirikiana kwa dhati katika kila jambo.

Matamshi

shikana

/∫ikana/