Ufafanuzi wa shikio katika Kiswahili

shikio

nominoPlural mashikio

  • 1

    sehemu ya kitu ambayo mtu huitumia kwa kuinulia au kukamatia kitu hicho.

    ‘Kapu hili limekatika shikio moja’

  • 2

    usukani wa chombo k.v. jahazi au dau ulioko nyuma ya chombo hicho na wenye mpini.

Matamshi

shikio

/∫ikijɔ/