Ufafanuzi wa shikiza katika Kiswahili

shikiza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kitu kishikamane na kitu kingine.

  • 2

    fanya jambo au tumia kitu kwa muda wakati unasubiri kupata kilicho bora zaidi.

    ‘Gari hili ni bovu lakini najishikiza nalo tu’

Matamshi

shikiza

/∫ikiza/