Ufafanuzi wa shilingi katika Kiswahili

shilingi

nominoPlural shilingi

  • 1

    sarafu ya fedha yenye thamani ya senti mia moja katika Afrika Mashariki.

  • 2

    thamani ya pesa yenye senti mia moja.

Asili

Kng

Matamshi

shilingi

/∫ilingi/