Ufafanuzi wa shime katika Kiswahili

shime

nomino

  • 1

    neno la kumhimiza mtu au kumpa nguvu ili aendelee na jambo analofanya.

Asili

Kar

Matamshi

shime

/∫imɛ/