Ufafanuzi wa shimizi katika Kiswahili

shimizi, shumizi

nomino

  • 1

    vazi jepesi la ndani linalovaliwa na wanawake ambalo huanzia mabegani na kuishia agh. magotini.

    kamisi

Asili

Kfa