Ufafanuzi wa shingo ya chupa katika Kiswahili

shingo ya chupa

  • 1

    sehemu nyembamba ya chupa inayounganisha mdomo wa chupa na sehemu yake nyingine.