Ufafanuzi wa shinikizo la damu katika Kiswahili

shinikizo la damu

msemo

  • 1

    nguvu inayosukuma damu kwenye mishipa na ambayo huleta madhara inapokuwa juu sana au chini sana.

    msongo