Ufafanuzi wa shira katika Kiswahili

shira

nomino

  • 1

    sukari iliyochanganywa na maji kidogo na kuyeyushwa kwa kuchemshwa na ambayo hutumika kuchovyea k.v. maandazi au kaimati.

Asili

Kar

Matamshi

shira

/∫ira/