Ufafanuzi wa shiraa katika Kiswahili

shiraa

nomino

  • 1

    ushungi usioonyesha upande wa pili unaovaliwa usoni na baadhi ya wanawake.

Asili

Kar

Matamshi

shiraa

/∫ira:/