Ufafanuzi msingi wa shirika katika Kiswahili

: shirika1shirika2

shirika1

nominoPlural mashirika

 • 1

  idara maalumu mfano wa kampuni inayoundwa ili kushughulikia usimamiaji na utekelezaji wa shughuli maalumu k.v. biashara.

  ‘Shirika la Sukari’
  ‘Shirika la Reli’
  ‘Shirika la Habari’

Ufafanuzi msingi wa shirika katika Kiswahili

: shirika1shirika2

shirika2

kivumishi

 • 1

  -a kumiliki pamoja.

  ‘Nyumba hii ni ya shirika , mimi na mke wangu’

Matamshi

shirika

/∫irika/