Ufafanuzi wa shirikisha katika Kiswahili

shirikisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    husisha mtu au kitu kimoja na kingine.

    ‘Haifai kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kitu chochote’

Asili

Kar

Matamshi

shirikisha

/∫iriki∫a/