Ufafanuzi wa shirikisho katika Kiswahili

shirikisho

nominoPlural mashirikisho

  • 1

    muungano wa nchi mbili au zaidi zinazounda serikali moja chini ya kiongozi mmoja.

  • 2

    muungano wa asasi au vyama mbalimbali, k.m. shirikisho la vyama vya wafanyakazi.

Asili

Kar

Matamshi

shirikisho

/∫iriki∫ɔ/