Ufafanuzi wa shogi katika Kiswahili

shogi

nominoPlural shogi

  • 1

    sehemu maalumu katika chombo k.v. jahazi au mashua ambamo zamani walikuwa wakifichwa watumwa waliokuwa wakisafirishwa.

Asili

Kar

Matamshi

shogi

/∫ɔgi/