Ufafanuzi wa shoka katika Kiswahili

shoka

nominoPlural mashoka

  • 1

    kifaa kizito cha chuma chenye makali na kilichotiwa mpini, ambacho hutumika kukatia miti au kuchanjia kuni.

Matamshi

shoka

/∫ɔka/