Ufafanuzi msingi wa shokoa katika Kiswahili

: shokoa1shokoa2

shokoa1

nominoPlural shokoa

  • 1

    kazi ya kulazimishwa mtu kuifanya bila ya hiari yake.

    ‘Fanyisha shokoa’

Asili

Kaj

Matamshi

shokoa

/∫ɔkɔwa/

Ufafanuzi msingi wa shokoa katika Kiswahili

: shokoa1shokoa2

shokoa2

nominoPlural shokoa

  • 1

    shamba ambalo liliwahi kulimwa kisha likaachwa na kumea nyasi.

Matamshi

shokoa

/∫ɔkɔwa/