Ufafanuzi wa shona katika Kiswahili

shona

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    pitisha uzi katika vitu laini k.v. nguo, ngozi, karatasi au tonobari kwa kutumia kitu k.v. sindano ili kuviunganisha au kuvishikamanisha.

Matamshi

shona

/∫ɔna/