Ufafanuzi wa shore katika Kiswahili

shore

nominoPlural shore

  • 1

    ndege mdogo mwenye rangi ya kijivu, kichwa chenye kishungi, anayekaa karibu na watu na ambaye hupenda sana kula matunda k.v. mapapai, mapera au pilipili.

    shorewanda, jurawa

Matamshi

shore

/∫ɔrɛ/