Ufafanuzi msingi wa shoto katika Kiswahili

: shoto1shoto2

shoto1

nomino

 • 1

  hali ya maumbile ya kutumia mkono au mguu wa kushoto.

  ‘Bakari ana shoto’

Matamshi

shoto

/∫ɔtɔ/

Ufafanuzi msingi wa shoto katika Kiswahili

: shoto1shoto2

shoto2

kielezi

 • 1

  ‘Mambo yamekwenda shoto’
  shoro
  and → kombo

Matamshi

shoto

/∫ɔtɔ/