Ufafanuzi wa shtaka katika Kiswahili

shtaka

nominoPlural mashtaka

  • 1

    maelezo ya malalamiko ambayo hupelekwa mbele ya mahakama, baraza au kwa mtu ili kutolewa hukumu kuhusu kitendo alichotendewa mtu, jamii, n.k. kinyume cha sheria au taratibu fulani.

Asili

Kar

Matamshi

shtaka

/∫taka/