Ufafanuzi wa shtaki katika Kiswahili

shtaki

kitenzi elekezi

  • 1

    peleka malalamiko mbele ya baraza, mahakama au mtu mwenye cheo na uwezo kwa ajili ya kutoa uamuzi ili kutafuta haki.

Asili

Kar

Matamshi

shtaki

/∫taki/