Ufafanuzi wa shtuka katika Kiswahili

shtuka, shituka

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na wasiwasi kuhusu jambo fulani.

    gutuka

Matamshi

shtuka

/∫tuka/