Ufafanuzi wa shtukiza katika Kiswahili

shtukiza

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanyia mtu jambo bila kumpa taarifa ya awali.

Matamshi

shtukiza

/∫tukiza/