Ufafanuzi wa shubaka katika Kiswahili

shubaka

nominoPlural mashubaka

  • 1

    nafasi iliyofanywa ndani ya kitu k.v. ukuta ili kuwekea vitu.

    daka, bacha

Asili

Kar

Matamshi

shubaka

/∫ubaka/