Ufafanuzi wa shufwa katika Kiswahili

shufwa

nomino

  • 1

    idadi inayogawanyika kwa mbili bila ya kubaki.

Asili

Kar

Matamshi

shufwa

/∫ufwa/