Ufafanuzi wa shughuli katika Kiswahili

shughuli

nominoPlural shughuli

  • 1

    jambo ambalo linamfanya mtu atumie nguvu, juhudi na akili yake ili kulitekeleza.

    kazi, dimba

Asili

Kar

Matamshi

shughuli

/∫uɚuli/